Muigizaji Mwijaku Aeleza Utajiri Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muigizaji Mwijaku aeleza utajiri wake
Mwigizaji wa tamthilia, Mwijaku amewafungukia wale wanaomchukulia poa kwenye mitandao ya kijamii na kuwaambia kuwa kimaisha hawalingani na yeye.

Pia amesema hatoacha kuongea na kuwakemea vijana wanaotupia picha mbaya mitandaoni kwani anataka wakae kwenye mstari mzuri kimaadili.

"Kuna watu wananichukulia poa, kimaisha nalingana na wazazi wao,najenga maeneo ya Mpinga nina mashamba Bunju na  Bagamoyo, nina magari nane, nimiliki ‘Ubber’ nne, yote kwa sababu ya kuigiza kule kupost ‘Instagram’ ni kuongea kuwakumbusha vijana wenzangu wanaojisahau," amesema.

Ameendelea kwa kusema, 'Kuna wengine wanapiga picha mbaya siwezi kuwaacha lazima niwaambie kwa sababu nawatakia mema
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad