Serengeti Boys Waahidiwa Milioni 20 Kila Mchezaji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 
Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana ya Tanzania, U-17 'Serengeti Boys' wameahidiwa kupewa Sh. 20 milioni kila mchezaji endapo watashinda mechi 2 za AFcon

Ahadi hiyo imetolewa na Mlezi wa timu ya vijana Serengeti Boys Dkt.Reginald Mengi pamoja na Kamati ya kuhamasisha ushindi wa timu hiyo inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar, es salaam, Paul Makonda.

Michuano ya vijana ya AFCON inatarajia kuanza April 14, Tanzania ikiwa ni mwenyeji.

Serengeti Boys inahitaji kushinda mechi mbili ili kujikatia tiketi ya kufuzu michuano ya Kombe la Dunia kwa vijana chini ya miaka 17 itakayofanyika nchini Brazil mwaka huu.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad