Vanessa Afunguka Kikwazo cha Ndoa na Jux

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ambayo kwa muda mrefu amekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake Juma Jux, amefunguka kitu kinachowapa ugumu wawili hao kufikia hatua ya kufunga ndoa rasmi.


Akizungumzia hilo Vanessa Mdee amesema kwamba watu wote wanajua kuwa yeye ni Mkristu na Jux ni Muislamu, na ndiyo changamoto kubwa wanayokabiliana nayo.

“Ndoa ni jambo la baraka sana ndoa ni next step to everyone ambaye amekuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu, lakini ni wazi kuwa Juma ni Muislamu na mimi ni Mkristu, nadhani watu wengi wana hiki kitu, muda mwengine inaleta changamoto sana”, amesema Vanessa.

Hata hivyo Vanessa amekanusha tuhuma za penzi lao kufa (kuachana) na kusema kwamba bado wapo pamoja na bado anampenda sana Jux.


BUKENYA: Why we tell a lie or two once in a while
Daily Nation
|
Sponsored
This New $89 Trap Finally Solves The Tanzania, United Republic Of Mosquito Problem
Electric Mosquito Killer
|
Sponsored
7 Early Prediabetes Symptoms You Probably Ignore
Health & Human Research
|
Sponsored

What Happens With Your Body When You Eat Avocado
Health & Human Research
|
Sponsored
Top 11 Foods That do NOT Affect the Blood Sugar
Health & Human Research
|
Sponsored
Magufuli afanya uteuzi kwa Nassari | East Africa Television
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Dk. John Pombe Magufuli pamoja na Kikao cha Kamati Kuu kimemteua Ngugu, John Danielson Pallangyo kuwa mgombea wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Arumeru.
EATV

TOP STORIES

SPORT
“Shughuli ya Lechantre imekwisha”-Manara

SPORT
Ngoma ashindwa kuichezea Azam, Kagame

CURRENT AFFAIRS
Amuua mke mwenza na kumzika shambani

CURRENT AFFAIRS
Mbunge wa CHADEMA, ajiuzulu na kujiunga CCM


MOST POPULAR

CURRENT AFFAIRS
Mlinzi asimulia alivyomuua mwanafunzi

CURRENT AFFAIRS
Magufuli afanya uteuzi kwa Nassari

CURRENT AFFAIRS
Sakata la CAG, Spika atakiwa kujishusha

CURRENT AFFAIRS
Makonda aonya wanafunzi kutumia mitandao

CURRENT AFFAIRS
Mbunge CHADEMA azungumzia ya Nassari
ABOUT US
ABOUT USADVERTISEJOBSTERMS & CONDITIONSCONTACT USFREQUENTLY ASKED QUESTIONS
NETWORK
IPP MEDIAEAST AFRICA RADIOITVRADIO ONECAPITAL RADIOLOKOPROMO
© 2019 East Africa Television Limited. All Rights Reserved

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad