4/15/2019

Waziri Mwakyembe ‘Hakuna kiingilio Mechi Zote za Afcon U17, ni Bure Kuanzia leo Aprili 15’

Waziri Mwakyembe ‘Hakuna kiingilio mechi zote za Afcon U17, ni bure kuanzia leo Aprili 15’
Waziri wa Habari Utamaduni sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe amesema kuwa hakutakuwa na viingilio kwenye michezo yote iliyobakia ya Total Afcon U17 inayofanyika kwenye Viwanja vya Taifa na Chamazi jijini Dar es Salaam.


Dkt. Harrison Mwakyembe ameyasema hapo jana mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa timu ya taifa ya Tanzania Serengeti Boys dhidi ya Nigeria.

This image has an empty alt attribute; its file name is STARS.jpg
Kwenye mchezo huo Serengeti Boys ilikubali kipigo cha jumla ya mabao 5 – 4 kutoka kwa Nigeria.

Akizungumzia matokeo Mwakyembe amesema anauhakika Serengeti itafnya vizuri kwenye mechi zake mbili zilizosalia
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger