Balozi wa Uingereza nchini afanya mazungumzo na IGP Sirro

Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar wawili hao wamezungumza masuala mbalimbali ikiwemo kuendeleza ushirikiano.


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA UDAKU SPECIAL >BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIALLoading...

Balozi wa Uingereza nchini afanya mazungumzo na IGP Sirro Balozi wa Uingereza nchini afanya mazungumzo na IGP Sirro Reviewed by Udaku Special on May 17, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.