5/21/2019

Pierre Liquidi amkabidhi DC Jokate madawati

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo leo amepokea madawati 20 yenye thamani ya zaidi ya Tsh. 100,000 moja kutoka kwa Pierre Liquidi. Madawati hayo ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa Machi 30, 2019 ya kutoa TZS laki moja kwa lengo la kutokomeza Zero Kisarawe. 


"Leo nimepokea madawati 20 yenye viwango vya juu kutoka kwa Pierre Liquidi chini ya kampuni ya Afro Furnishers and Hardware. Kwenye Harambee yetu ya tarehe 30/03/2019 aliahidi kutoa laki moja lakini leo amekuja na madawati 20 yenye thamani ya zaidi ya tsh laki moja," ameeleza DC. 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger