5/15/2019

Katibu Mkuu CCM akerwa na wanasiasa kuingilia utoaji huduma za afya

Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally ameeleza kusikitishwa kwake na matukio ya wanasiasa kuingilia utoaji huduma za afya na kudhalilisha watoa huduma.

Amesema hakuna mtu anayewatuma kufanya hivyo na kuwataka wadau wote kushirikiana kwa kuwalinda wataalamu wa wafya dhidi ya udhalilishaji.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger