5/12/2019

Kauli Kuntu Alizoongea Askofu Kakobe Leo Kuhusu Video ya Ngono Iliyosemekana ya Gwajima

"Tulimwalika Paul Makonda kwenye sherehe za kuzaliwa kwa kanisa letu kwa sababu sisi kazi yetu ni kuwa karibu na watu ambao wanaonekana ni wenye shida ama matatizo kwenye jamii, hatuwezi kumtenga mtu mwenye matatizo, inabidi tuwe karibu nae ili tumponye" :Askofu Kakobe


"Baada ya lile tukio kuna mtu mmoja aliandika katika mitandao ya kijamii kuwa Kakobe na Gwajima wamewaacha wananchi. Sasa atakayefuata ni Kakobe, kwa hiyo mnanitengenezea video na mimi nawaambia katika miaka 30 ya huduma hii nimekwepa mishale mingi sana" – Askofu Zachary Kakobe"Waliotengeneza video ya Gwajima wameshindwa, na nawatangazia huko waliko hata wakitengeneza ya Kakobe watashindwa kwa sababu kanisa la Mungu limejengwa juu ya miamba ambayo haitatetereka kamwe " Askofu Kakobe

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger