Mrembo Ahukumiwa Jela Siku 14 Kwa Kupost Picha Hii Facebook

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mahakama moja nchini India 🇮🇳 imeamrisha mwanaharakati wa kihindi bi Rehana Fathima kukaa rumande siku 14 kwa kuchapisha picha hii ☝🏿kwenye mtandao wa Facebook.

Polisi wanasema picha hii ni ya ”utupu”.
Amewekwa rumande kwa siku 14 kuruhusu polisi wakamilishe uchunguzi.

 Je picha hii ya utupu?


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio picha bana...ilitumwa video youtube kupitia facebook.Fuatilia vizuri

    ReplyDelete

Top Post Ad