5/21/2019

Mtoto wa Ruge Apata Shavu kwa Nady ”Tupo Juu Kila Siku”


Mwanamziki maarufu wa bongo fleva Nandy ameamua kumuajiri Mwachi mtoto wa marehemu Ruge Mutahaba kuwa offial DJ wake kuanzia tamasha ambalo ataanza nalo Sumbawanga siku ya EID.

Kauli hii imethibitishwa kupitia mtandao wa instagram baada ya Nady kukoment offialnady DJ na kuonekana kuwa nandy ameamua kumpatia Mwachi nafasi hiyo.

Hata hivyo watu wengi wamekuwa wakijiuliza maswali, uhusiano uliopo kati ya Nady na mtoto wa kwanza wa marehemu Ruge, hivi karibuni mwanamuziki huyo aliweka wazi mahusiano yake ya kimapenzi yaliyokuwepo kati yake na Ruge kwenye mahojiano na Millard Ayo.

Hata hivyo mashabiki wamekuwa na kiu ya kujua kama kweli Nady amempa shavu hilo Mwachi.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger