5/18/2019

''Nafuatwa na wanaume 500 kwa siku'' - Miss Bella

KwaMsanii wa Bongo Fleva Isabela Mpanda ‘Miss Bella’ amesema kuwa hutongozwa na wanaume ambao idadi yao inaweza kufikia 500 kwa siku na haoni ajabu kwake kama mwanamke.Bella amesema kuwa kufuatia hali hiyo ya kufuatwa sana limepelekea pia kuhongwa vitu vya gharama, lakini hategemei mali wala kitu chochote kutoka kwa mwanaume ili aendeshe maisha yake kama wanavyofanya baadhi ya mastaa wa kike badala yake anapambana kivyake kufikia malengo yake.

"Sishangai na sio ajabu mimi kuhongwa lakini sitegemei sana hivyo vitu vya kupewa mimi najipambania mwenyewe", amesema Bella.

Bella amekuwa akiingia kwenye migogoro na baadhi ya watu kwenye mitandao, ambao wamekuwa wakidai kuwa anaigiza maisha ya kwenye mitandao na si maisha yake halisi.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger