5/18/2019

Nyota Yako Leo Jumamosi 18 May 2019🔯NG'OMBE– (Aprili 21– May 21)
Siku nzuri kwako katika mambo ya kijamii, Utakasirishwa na kugombana na watu kwa ajili ya rafiki yako, Mkeo au mumeo au mwanao .kuwa muangalifu sana usijiingize katika magomvi utajikuta uko hospitali au Polisi.

🔯MAPACHA– (May 22- Juni 20)
Mpe hifadhi ya aina yoyote rafiki yako,hiyo itakufanya utatukuzwe kwa jambo na utapata mafanikio katika malengo yako uliyoyapanga kwa wiki nzima.ukikiuka hayo tegemea kupata mikwamo ya kifedha.

🔯KAA- (Juni 21- Julai 23)
Dalili ya kuwa hutafanikiwa katika mambo ya pesa utakayoyafanya leo zitajitokeza baada ya kugombana na rafiki yako .Ili kuepuka hayo jitahidi kumuomba mungu kwa sala katika kipindi cha wiki nzima.

🔯SIMBA LEO– (Julai 24– Agosti 23)
Kumuona Panya leo ni dalili ya baraka, ikikutokea ujue huna utakalolipata katika kipindi cha siku tatu kuanzia leo, na kama una mipango yoyote ya fedha achana nayo unaweza ukapata balaa. Jaribu kuwa muangalifu hasa rafiki zako wa karibu.

🔯MASHUKE- (Agosti 23- Septemba 23)
Leo kuna kila dalili ya kukumbushwa jambo linalokukera ambalo kitu umelisahau kwa muda mrefu. Mali au kitu kilichopotea kwa siku nyingi Kitapatikana Jaribu kutafuta undani kuhusu mpenzi wako anakusaliti.

🔯MIZANI- (Septemba 24- Oktoba 23)
Siku ya leo utapata habari ya wizi, kulipiza kisasi, maneno machafu au ugomvi.
na hiyo itakuwa ni ishara ya kukwama katika mambo yako ya kibiashara, adui yako atakusumbua na kukuzuia kufanya mambo yako na atakutia wasiwasi mkubwa.

🔯NG'E– (Oktoba 24- Novemba 22)
Wiki hii inaonekana utakuwa na matatizo ya kifedha na hizo kidogo ulizokuwa nazo zitatumika kwa mambo ambayo hukutegemea yatakayoibuka bila ya wewe kujua. Kama una jambo lolote la kifedha au biashara jiulize mara mbili kabla ya kujihusisha.

🔯MSHALE- (Novemba 23- Desemba 21)
Leo unataka sana mtu umpendae au kitu ukipendacho kije na unategemea barua nzuri au ujumbe.kuna kila dalili za mambo yako kufunguka hasa safari ya mbali ambayo unaitegemea. Mpenzi wako atarudi baada ya wiki mbili.

🔯MBUZI- (Desemba 22– Januari 20)
Leo Una wasiwasi mkubwa juu ya Kesi huenda ikakushika kuhusiana na pesa kazini kwako. Una mawazo mazuri sana juu ya mtoto au Mipango ya harusi au barua. mambo yako sasa yatafunguka na kukunyookea baada ya wiki , ile mikwamo ya hapa na pale itafunguka kwa urahisi baada ya kuja kwa mgeni.

🔯NDOO- (Januari 21- Februari 19)
Ukimwaona watoto wawili wamevaa sare, basi hiyo ni dalili ya wewe kupata mtoto wa kiume kama mkeo ni mja mzito au utapata mpenzi mpya ambaye utakutana naye njiani Sherehe uliyoalikwa itakukutanisha na adui yako.

🔯SAMAKI- (Februari 20- March 20)
Wiki hii usipeleke posa wala usishiriki katika vikao vya harusi kuna matatizo yatakayokutokea iwapo hutatekeleza haya ninayokueleza. Kama umepeleka posa yako itakataliwa. Unahitajika kuwa mkweli katika mambo yako hasa ya kimapenzi.

🔯PUNDA- (March 20– April 20)
Hii ni wiki ya safari za ghafla na mipango ya kipesa. Elewa kuna mtu anakusengenya na hiyo ni dalili kwamba utakosa yale yote uliyoyategemea Kutana na mtu mkubwa Serikalini ambaye atakusaidia.                                 
SHEIKHE ISAYA ATAKUSAIDIA KATIKA MAMBO yafatayo kusafisha nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kukuza biashara, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181
0686644040

www.tumainitibaasili.co.tz
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger