Nyota Yako Leo Jumanne 14 May 2019

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

NYOTA YAKO LEO JUMANNE 14/MAY/2019:

✡️NG'OMBE- (April 21- May 21)
Leo Tafuta njia ya kuondoa husda au nuksi kabla hazijaenea sehemu kubwa, Weka mambo yako katika mizani sahihi ili maamuzi yako yawe sahihi na kwa faida yako.

✡️MAPACHA- (May 22- Juni 21)
Leo onyesha roho ya huruma na kuwa na hisani kwa kila mtu, kutokana na tabia yako hiyo watu watakuja mara kwa mara ili uwape msaada kama unavyotoa kwa wengine na wakija wasaidie wala usichoke.

✡️KAA- (Juni  21- Julai 23)
Umekuwa ukitumia vibaya fedha zako katika siku za hivi karibuni mpaka umeshindwa kutekeleza baadhi ya majukumu yako ambayo umejipangia wewe mwenyewe, Jaribu sana kujiweka mbali na marafiki wabadhirifu.

✡️SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 23)
Leo jitahidi kujiepusha na marafiki wasio na maana kwa sababu unahitaji utulivu wa hali ya juu katika kutekeleza majumu yako yanayokukabili.

✡️MASHUKE-  (Agosti 23- Septemba 23)
Leo ni siku nzuri sana kwako kutafakari kuhusiana na maisha yako ya baadae, yaweke pembeni mambo ambayo unayaona hayana maana maisha yako ni muhimu sana kwako kuliko jambo lolote jingine linalokukabili.

✡️MIZANI- (Septemba 24- Oktoba 23)
Leo Jitahidi kujielekeza kwa mambo mema na usijaribu kusema uongo unaweza kuumbuka kuwa na moyo mkunjufu kwa sababu hali hiyo itakufaa zaidi.

✡️NG'E- (Oktoba 24- Novemba 22)
Leo Fungua Milango na kubali ushauri kwa sababu huwezi kujua bahati hii ya sasa itadumu kwa muda gani Kuna bahati kubwa sana itakujia upande wako.

✡️MSHALE- (Novemba 23- Desemba 21)
Inaonekana umesitasita kwa muda mrefu sasa katika kufanya maamuzi lakini leo ndio siku hasa ya kufanya maamuzi na kutimiza mambo yako hasa yale yanayohusiana na maisha yako.

✡️MBUZI- (Desemba 22- Januari 20)
Leo utahitaji ushauri wa dharura ili kuweka mambo yako sawa Kutimia kwa mipango yako uliyonayo wakati huu kunategeme wewe utajihusisha na watu wa aina gani katika kutekeleza mipango yako.

✡️NDOO- (Januari 21- Februari 19)
Siku ya leo ni juu yako kuamua kitu gani cha kufanya katika kufikia malengo yako unayoyataka Imekuwa vigumu kwako kuamua mambo Fulani na ukajikuta uko katika njia panda.

✡️SAMAKI- (Februari 20- March 20)
Kama ulikuwa una safari nenda itakuwa nzuri au kama una kazi iliyokwama ifanye utafanikiwa kwa sababu bahati iko upande wako.

✡️PUNDA- (March 20- April 20)
Leo Nyota yako itakuletea mabadiliko makubwa na mengi sana katika maisha yako Yakitokea hayo yakubali tu aidha yakiwa ni mazuri au mabaya hatimaye utamakinika na utaona fanda ya mabadiliko hayo.                                                 

SHEIKHE ISAYA MWENYE UWEZO WA KUFANYA dua na visomo atakusaidia katika mambo yafatayo.kusafisha nyota. kupata kazi, kupata cheo, kufauru masomo, kurundisha mmeo au mkeo, kushinda kesi, kukuza biashara, kuuza mari kwa haraka, nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI
SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040 
www.tumainitibaasili.co.tz
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad