5/12/2019

Nyota yako Leo Jumapili 12 May 2019


MBUZI - CAPRICORN (DES 22 – JAN 20)
Wikiendi hii  Kesi au michezo au mashindano ni nzuri kwako,  safari ukiwa nayo ni nzuri na mgonjwa kama  yupo au unauguwa wewe basi utapata nafuu au kupona kabisa. 

NDOO –AQUARIUS (JAN 21 – FEBR 19)
Unashauriwa uache khiana na haraka, achana na huyo rafiki yako au mpenzi wako ana khiyana mbaya.  Jambo lolote unalotaka kujua dawa yake uachane nalo. Kitu kilichopotea au kuibiwa kipatikana.

SAMAKI – PISCES (FEB 20- MARCH 20)
Hapo ulipo inaonekana una shaka kuhusu ugonjwa, wasiwasi, kifo, au pesa au kuondolewa kazini au mali kurithiwa au kuuzwa na kuwekewa rehani.  Inaonekana kuna khiyana, taabu tupu, uhusiano mbaya, njia mbaya na unaota ndoto za kutisha. Hayo yote yatakwisha wikiendi hii

PUNDA- ARIES (MACH 21-  APR 20)
Siku  hizi za mwisho wa wiki unashauriwa uache kabisa kujiingiza katika mambo ya mapenzi kama ukitaka salama yako.  Lazima ujue kuwa adui yako yupo macho na ana nguvu na lazima utanaswa au kufumaniwa. 

NG’OMBE – TAURUS  (APR21 – MAY 20)
Ikiwa ndio umekwisha fikwa na tatizo lolote  basi dhibiti au kubali makosa au kubali hasara mara moja kwani njia nyingine yoyote haifai. Ukifanya hivyo utafanikiwa.

MAPACHA - GEMINI (MAY 21- JUN 21)
Wikiendi hii usipate wasiwasi kuhusu safari, kuhamahama  au kuhamishwa au habari ya kifo.  unataka kujua hali ya mpenzi au mtu aliyembali na barua, au mgonjwa au mashindano na mtihani.  Pana kazi iliyokutoka au barua au kitu. Kuwa na subira hayouyatakayo yatakuja.

KAA - CANCER (JUN 22- JUL 22)
Wikiendi hii tegemea kupata Kazi, mgeni yuko salama na mpenzi wako hajambo.  Barua au salamu unazotarajia zitakufikia na mgonjwa atapona na hivi karibuni atakuja.  Mchezo, mtihani au usaili( Inteview) utashinda

SIMBA - LEO (JUL 23 –AUG 22)
Siku hizi za mwisho wa wiki adui yako ataaibika. si lazima usafiri ndipo upate mafanikio  unayoyataka.  Utafanikiwa kwa nguvu za Mungu.  Hata hivyo toa sadaka ya kitu chochote siku ya kesho jumamosi.

MASHUKE - VIRGO (AUG 23- SEPT 23)
Ukitaka kufanikiwa lazima utumie nguvu yaani upeleke mashtaka Serikalini au kwa Mkuu, kabla hujaondoka upange na mkubwa wa hapo ikiwezekana akupe barua au ufanya mipango naye ndio utafanikiwa. Hakikisha mambo  yako yote yajulikane na mkubwa huyo.

MIZANI - LIBRA (SEPT 24- OCT 23)
Inaonekana fikra zako ni  kuhusu Kiongozi au Mkuu  fulani au madaraka na mambo ya Kiserikali, Siasa na mali, ambayo yamekuharibikia.  Pia pana jambo lililopotea au kazi na nyumba. muone mtaalamu  kabla hujaharibikiwa.

NGE - SCORPIO (OCT 24- NOV 22)
Siku hizi za mwisho wa wiki ujue kuwa kuwa jambo lolote unalolitaka  litakuwa jepesi na litapatikana . Ukijua hayo basi itakuwa ni Vyema. Elewa siku ya kutokea shida zako au mafanikio ni leo Ijumaa au Mwezi wa unaokuja.

MSHALE - SAGITARIUS ( NOV 23 - DES 21)
Leo unafikiria kuhusu nyumba, mke au mume au uchumba.  Vile vile mambo ya kushirikiana au kazi na kipato. Hapo ulipo una taabu na magomvi na  unalaumiwa na ugonjwa unakutatiza.  Pana habari ya kitu kuibiwa, khiyana,  kuwa na amani wikiendi itamalizika vizuri.

SHEIKHE ISAYA MWENYE UWEZO WA KUFANYA DUA na VISOMO atakusaidia katika mambo yafatayo kusafisha nyota, kupata kazi,kupata cheo, kufaulu masomo,kurudisha mme / mkeo kushinda kesi, kukuza biashara,kushinda bahati nasibu,na kuuza mari kwa haraka nk

SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI simu au whatsapp +255745495181 au 0682644040 www.tumainitibaasili.co.tz
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger