Nyota Yako Leo Jumatatu 13 May 2019

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



🌟NG'OMBE- (Aprili 21- May 21)
Matarajio yako yamefikia sehemu nzuri badilisha tabia ya mavazi yako kuvuta bahati zaidi ni mwezi wa mafanikio kwako kila siku ya Alhamisi ina tukio jipya.

🌟MAPACHA- (May 22- Juni 21)
Muda unaopoteza utakuja kuujutia kumbuka huna sababu tena ya kuomba msaada maana kila jambo uliokuwa ukilihitaji lipo karibu yako omba msaada tu wa kinajimu.

🌟KAA- (Juni 22- Julai 23)
Safari yako ya mafanikio imeiva punguza jazba na uache dharau kwani anayekusaidia kufikia malengo yako ni mtu wa kawaida ambaye hutamwamini hata siku moja.

🌟SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 23)
Kuna kinachozungumzwa na familia kuhusu wewe ni wakati wa Kuwa nao karibu au hata kushiriki masuala yao kwa karibu si wakati wa kujitenga una siri ya mafanikio iliyojificha katika nafsi yako.

🌟MASHUKE- (Agosti 24- Septemba 23)
Hii ni dalili mbaya ya kimapenzi ni wakati mzuri lakini wa kugundua mapenzi ya kweli na yale ya uongo unatakiwa kuwa mwepesi wa kudharau ili shughuli zako za kila siku.

🌟MIZANI- (Septemba 24- Oktoba 23)
Umefikia wakati ambapo hakuna mtu atakayekurudisha nyuma unachotakiwa ni kupanua michakato yako ya fedha ili uondoke katika hali uliyokuwa nayo kumbuka suala la ufukara lilishakutoka na sasa ni wakati wako wa kula matunda ya mateso uliyoyapata.

🌟NG'E- (Oktoba 24- Novemba 22)
Ukihitaji msaada kazi ndoa au kufanikiwa kibiashara huu ndio wakati wako nuksi na mambo mabaya yanakuepuka pia unaweza kuthibitisha haya kupitia ndoto za wiki hii.

🌟MSHALE- (Novemba 23- Desemba 21)
Utakuwa mwenye nguvu na sauti utasikilizwa popote na katika jambo lolote ukitumia vizuri mtaji huu unaweza kukaribia pale unapokusudia na ukidharau utashuka.

🌟MBUZI- (Desemba 22- Januari 20)
Nguvu na samani yako inarudi polepole kutokana na vikwazo ambavyo wewe mwenyewe uvitambui ni kipindi cha kugeuka sasa uwezo kufaidi.

🌟NDOO- (Januari 21- Februari 19)
Yaelekea wenye nyota hii kukumbwa na matukio mazito ya kimapenzi wiki hii ni wakati wa kujuta na wengine kupata wapenzi wapya kuweni waangalifu au wasiliana mnajimu kujua wapenzi watakaowafaa.

🌟SAMAKI- ( Februari 20- March 20)
Kuna Jambo jipya katika maisha yako utalishuhudia halina madhara wala furaha Ila litakubadilisha kimaisha siku ya Alhamisi itakuwa ya neema endapo utatoka kwenda kutafuta riziki.

🌟PUNDA- (March 20- April 20)
1. Unahisi kusalitiwa lakini si kweli umpendaye naye anasumbuka kwako ila masuala ya tofauti za nyota ndiyo yanayowatenganisha jaribuni kutafuta suluhu kutoka kwa wataalamu wa nyota na maisha ya kidunia                               

SHEIKHE ISAYA MWENYE  UWEZO WA KUFANYA dua na visomo atakusaidia katika mambo yafatayo kusafisha nyota, kupata kazi kupata cheo,kufaulu masomo, kurundisha mmeo au mkeo, kushinda kesi kukuza biashara, kuuza mari  kwa haraka SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI simu au whatsapp +255745495181 au 0682644040

www.tumainitibaasili.co.tz
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad