5/11/2019

Wanaume Mnayotofanyia Wanawake Kwenye Dala Dala Mungu Anawaona..Soma Kisa HichiIlinitokea wiki iliyopita, wakati natokea ubungo kwenda mbagala jamani sitosahau, khaaa kwa kweli akina kaka mnatia aibu jamani loooooh! Wakati gari linatokea Ubungo lilikuwa limejaza abiria na mimi nikiwepo na kwa bahati mbaya sikufanikiwa kupata siti, hivyo ilinibidi nisimame upande wa mbele karibia na mlango wa kushukia, wakati safari inaendelea huku mie nimeshikilia bomba kwa kutumia mkono wa kushoto huku mkono wa kulia nimeshika smartphone yangu nikiendelea kuchart mdogo mdogo.

Wakati gari limefika Buguruni, kuna baadhi wakashuka na wengine wakapandakama ilivyokawaida ya daladala lakini kati ya waliopanda pale Buguruni, kuna mkaka mmoja mtanashati, aliyevaa miwani ya macho, akawa amesimama nyuma yangu na kondakta alipompomwambia asogee nyuma alikataa, akidai kuwa nyuma hamna nafasi, na mimi nilishindwa kuongea nae coz ya aibu lakini safari ilivyozidi kusonga yule kaka akawa ananiegemea tu,'

Nilihisi kitu kilichovimba kimeegemea katikati ya "makalio" yangu yani gari likipiga breki ananihemea tu mgongoni. Nikasema isiwe tabu, mimi kumkaripia mtu mbele za watu kwa kisa kama kile siwezi nitaaibika. Japo safari yangu ilikuwa ni Mbagala rangi tatu, nikaamua kishuka kituo cha Uhasibu pale TIA, ili nipande gari nyingine lakini baada ya kushuka nikiwa nasubiria gari nyingine, katika kujikagua nikajikuta nimechafuliwa vibaya na katika kuangalia vizuri nikagundua zile ni "sperms" na sio maji maji ya kawaida kama nilivyodhani. So yule kaka ndie aliyenichafua My take Jamani hii tabia, wanaume hasaa wa Dar na baadhi ya wale wa mkoa mnayo na mnaiendekeza sana, hivii ni ny*** au ni tamaa tu, ndio zinazowasumbua?

 Kama mzigo umekuvutia siuombe namba tu, unaweza ukakubaliwa, ule kihalali na sio kuchafuana? "Mfyuu" Acheni huo mchezo, mtakuja kuaibika.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger