5/18/2019

Wasanii Hawa wa Bongo Flava Walivuma Lakini Wakashindwa Kutengeneza Pesa


1. 20% ; jamaa alifanikiwa kuchukua tuzo kama 5 hivi huku akiwa na mashairi makali na kufanikiwa kukubalika na mashabiki bongo lakn cha ajabu mavuno yake kweny MZIKI hayajaendana na umaarufu aliouvuna!

2. DUDUBAYA; a.k.a konkii Mkongwe huyu kitambo alivuma akiwa anamiliki kundi lake LA dar skendo lakin Leo hii ameishia kutafuta kiki instagram na kuzidiwa mpk na mtoto aliyekuw anamtuma dukan dogo hamidu a.k.a nyandu tozzy

3. CHID BENZ ; Mkali toka ilala wakati alivuma na mpka kujiita king of Dar es salaam lakini ajabu mafanikio aliyoyapata aliishia kwenye starehe na tamati kupotea kabisa kwenye mziki

4. LORD IZZY ; kiongozi toka kundi maarufu toka arusha Nako 2 Nako alipata kuvuma sana mpaka kufanikiwa kutoka na mrembo Ray c lakini starehe ujanja mwingi ulimpoteza na kujikuta amechezea bahati ambayo alitakiwa kuwa kimafanikio sawa na wenzake weus kama Joh makini au G nako

5. DAZ BABA NA FEROUZ ;
Vijana hatari sana kutoka bongo Records kutokea kwenye MZIKI wa bongo fleva lakin ajabu hawa jamaa starehe, ujana uliwapoteza huku mziki ukiwa umewalipa Bali wao walichezea bahati huku ikibaki historia tu kwao bila mafanikio ya maana kuvuna!!

Ni mtazamo tu

By Gabriel Junior/JF
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger