6/09/2019

Aliyewahi Kuwa RPC AJINYONGA Hadi Kufa

Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, DCP Aziz Juma Mohammed amekutwa amejinyonga nje ya nyumba yake huko Kibweni, Unguja usiku wa kuamkia leo‬

Mwili upo Hospitali ya Mnazi Mmoja kwa ajili ya uchunguzi  

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger