google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Breaking News: Wema Sepetu Atupwa Jela Siku Saba | UDAKU SPECIAL

Breaking News: Wema Sepetu Atupwa Jela Siku Saba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuamuru msanii wa filamu nchini Wema Sepetu kwenda jela siku saba wakati akisubiria uamuzi wa mahakama wa kumfutia  dhamana. 


Wema Sepetu anayekabiliwa na shtaka moja la kuchapisha video ya ngono na kusambaza katika mtandao wa kijamii wa Instagram. 


Jumanne Juni 11, 2019 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ilietoka hati ya kumkamata mlimbwende huyo wa Tanzania mwaka 2006, baada ya kukiuka masharti ya dhamana. 


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad