Hatimaye Kwa Mara ya Kwanza Diamond Ampost Baba yake Kwenye Page yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Huenda hii ikawa ni #FathersDay ya kwanza ambayo @diamondplatnumz amemtakia Baba yake.

Staa wa #Inama na Baba yake 'Mzee Abdul' wameonekana kuwa sawa ikiwa ni Miezi michache imepita tangu walipokutana ndani ya Studio moja ya chombo cha habari hapa nchini.

Ametumia Siku hii kama walivyotumia Watu wengine kumtakia heri Baba yake kwenye Siku hii muhimu kwa Baba wote Duniani. 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad