google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Kenya: Mtanzania Afungwa Miaka 30 Kwa Kukutwa na Dawa za Kulevya | UDAKU SPECIAL

Kenya: Mtanzania Afungwa Miaka 30 Kwa Kukutwa na Dawa za Kulevya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mahakama ya Mombasa imemhukumu Hussein Idd kifungo cha miaka 30 jela na kulipa faini ya Ksh milioni 90 (zaidi ya bilioni 2 za Tanzania) kwa kukutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya kilo 10 za Heroine Machi 2018 kwenye hoteli ya Regency, Mombasa

Hakimu Kagoni amesema, endapo Idd atashindwa kulipa shilingi milioni 90 za Kenya ataongezwa miaka mitano mingine jela 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad