6/11/2019

Mabibi Harusi wa Zamani Walikuwa Wakilia Harusini, Wasikuhizi Siku Hizi Wanacheka na Kucheza, Sababu nini?


Zamani Mabibj Harusi walikuwa wakilia kwenye harusi. Matron walikua na kazi kuwafuta machozi

Sasa hivi Mabibi Harusi
Wanaimba
Wanacheka
Wanacheza Kwaito hadi viduku

Kilichokuwa kinawaliza wa zamani ni nini?
na kinachowafurahisha wa siku hizi ni nini?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger