RC Ruvuma apandwa jazba amkunja mtuhumiwa 'natamani kuwapiga ngumu ya uso'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme alishindwa kuzuia jazba na kutaka kumkunja mtuhumiwa wa wizi wa mafuta ya dizeli lita 700 mkoani humo.



Mtuhumiwa huyo anadaiwa kuziiba kwenye magari yanayobeba makaa ya mawe ya Ngaka.

"Natamani kuwarushia ngumi nyinyi, natamani kuwapiga ngumu mimi bahati yenu hapa tu pamezibwa zibwa mngekuwa karibu nshawapiga ngumi na ngumi yangu kuwapiga ni ya uso," alisema RC Mndeme.

"Haiwezekani mimi nasema Jeshi la Polisi halilali, serikali ya awamu ya awamu ya tano hailali, nyie mnakwamisha juhudi ya serikali ya kukwamisha maendeleo, kama unataka kuishi Ruvuma kataa uhalifu."
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad