Wanasayansi wagundua chumvi inayowezi kutumika katika chakula mwezini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bahari kubwa inayopatikana katika mwezi wa sayari ya Jupiter ina chumvi- kama ile inayotumia katika samaki wako na viazi karai!

Kulingana na wanasayansi, darubini ya Hubble imekuwa ikichunguza mwezi kwa Jina Europa kwa muda mrefu sasa na imepata chumvi kama ile inayotumiwa katika chakula.

Chumvi inayotumika katika chakula ndio inayozifanya bahari kuwa chumvi.

Watafiti wanasema inamaanisha kwamba bahari inakabiliwa na vitendo vya Volakano.

Morsi azikwa saa chache baada ya kifo
Uso kwa uso na nyoka hatari
Mzozo wa mimba za wanafunzi Tanzania watua AU
Inafurahisha kwa sababu inaongeza fursa ya kuwepo kwa ishara za maisha ya ziada katika mwezi.

Duniani maisha husemekana kuanzia eneo la chini la bahari lenye maji yanayochemka.

Shirika la anga za juu nchini Marekani Nasa linakaribia kuanza uchunguzi mwezini- huku ujumbe wa kwanza ukitarajiwa kuondoka 2023.

Hadi kufikia wakati huo, wakati pekee ambao wanasayansi wameuona mwezi kwa karibu ni mwisho wa miaka ya 90 na mapema mwaka 2000 kupitia ndege kwa jina Galileo.

Chumvi hiyo ilipatikana hususan karibu na barafu na safu ya milima inayopita katika sakafu yake.

Picha za kwanza za shimo jeusi angani zatolewa
Sayari mpya inayoweza kuwa na uhai yagunduliwa
Chombo cha Israel chaanguka mwezini
Profesa Mike Brown , kutoka Taasisi ya teknolojia ya California, alisema: Tumekuwa na uwezo kufanya tathimini na darubini kwa takriban miaka 20. ''Ni kitu ambacho hakuna aliyefikiria kufanya''.

Pengine katika siku zijazo utakuwa ukitumia chumvi inayotoka ulimwengu mwengine.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad