6/09/2019

Wanawake Mlioolewa Never Underestimate The Power Of Nyumba NdogoSeriously wanawake mlioolewa wengi Wenu mnaboa sana sana Aisee, Mnadharau sana Nguvu ya Nyumbandogo, Mnaviona Kama vimalayaflani visivyo Na Bahati. Na kurukia waume Za watu. Sure I am telling you stop this. Never underestimate the power of nyumbandogo.

Umebweteka tu, ukirudi home umejitupia Kwa bed ukiguswa unamaka Eti umechoka, mumeo yuko bize Na simu down night we unaona poa tu, Kwamba ni jiwe la mtoni weye Maji yatapita yataliacha, frendie umebug mama. Tena Kama ni reli imegeuka tope, Nyumbandogo zina nguvu sana..

Ukibahatika sana waweza kudhibiti mshahara lakini unajua marupurupu mengine yanapo elekea?, lunch, OT, mishemishe Za kiofisi unajua fedha Yake ni zaidi ya Mara tano Na kitu ya kimshahara chake! Unajua zinaelekea wapi!?!, acha Ushamba, unadhani kuna maisha mengine zaidi ya Haya.

Sijui mmelewa mvinyo gani, aliyewadanganya kawalogea Kwenye uongo , Nyumbandogo zina power sana sana. Wanaume all days hukimbizia Fedha zao Kule wanakoinjoi love. Imagine Kwenye Kitabu Cha Biblia, palikuwa Na Mfalme mmoja aliyeitwa Daudi.. Aliyekuwa Na wake Saba wa ndoa Za Kishindo.. Wote walibweteka wakimsubiria Mfalme amteue Mtoto wa mmoja wapo awe mrithi wake.. But what happen, Mwanamke Mwingine we can say Nyumbandogo (Bathsheba) aliyekuwa Mke wa bwana mmoja askari Uriya, akapenetrate within the David Kingdom , akawa the 8th wife Na Kuutwaa Urithi wa Ufalme Kwa mwanae Solomon., wale wengine wakabakia mimacho pyuu, Then Nyie Leo mnadharau hii kitu. Chezea pesa, hata Kazi chezea but usichezee mume. Itakucost.Kazi yaweza potea ukasaka nyingine mume akikuponyoka siku akirudi haji peke Yake ameshajifungashia zigo la Gonjwa, anakugawia Na wewe.. Nambie kama utaona Raha ya Kazi tena, Kama utaona Raha ya Shule unayoikazania. Kila siku openiyunivaste-yunivaste itageuka klose-yunivaste.

Hapana aisee , badilikeni, mkeep bize mwanaume at your Body, mmassage, make him happy, is the only husband an pet man you have. Mwanamke mmoja makini akinambiaga Yeye mumewe anamtendea "vitu" kiasi hata akienda nje hawezi kuta Kama hivyo ampavyo. But wengine maadam keshaolewa, Na ndoa zenyewe hizi Za kikristu, one wife , Basi anaona kafikaaa, Umelogwaje,wakati wa Mchana mchane Na Whatsapp mwenyewe akome sio kuwaachia wengine wamuwatsapp utajuta.

Kazi, Watoto, Ndugu Na majukumu mengine yasikufanye ukapoteza lulu yako ya Kuwa Na happy time Na Mumeo..
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger