GUMZO: Mwanamke Akiri Kumchanganyia Mumewe Damu ya Hedhi Kwenye Chakula

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Katika ulimwengu tunaoishi kuna vimiminika vichache sana ambavyo vinazidi damu ya blidi kwa uharamu

Imani mbalimbali na hata za asili huzungumzia sana suala la damu hiyo inayotolewa na watu wa jinsi ya kike katika kukamilisha mzunguko wa hedhi.

Ni damu ambayo kimsingi ni chafu kutokana na uasili wake.  Sasa kuna stori moja inasema kuna mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika ametanabaisha kuwa hutumia damu yake ya hedhi kama moja ya viungo wakati wa kumpikia mumewe chakula.

Baada ya taarifa hiyo watu wengi walipatwa na mshangao na kujiuliza endapo mumewe akifahamu jambo hilo angaechukua hatua gani kutokana na unyeti wa jambo hilo.



Inaelezwa bado kuna baadhi ya jamii mbalimbali hususan Afrika ambazo wanawake hutumia damu za hedhi kuchanganya kwenye chaula wanachowapikia wenza wao. Jambo la kushangaza ni kwamba hutumia mbinu hiyo kwa sababu za kishirikina.

Amekiri kwamba alitumia mbinu hiyo kwa kuwa hakuwa akitaka mumewe atoke nje ya ndoa. Mtu huyo akaapa kwa ngvu zake zote akishuhudia kwamba sio tu kwamba njia hiyo hufanya kazi vizuri bali hata shangazi yake hutumia na jambo kubwa zaidi, amesema mumewe humpenda sana kiasi cha kutokuwa na nafasi ya kuangalia mwanamke mwingine zaidi ya mara mbili.

Sababu ya pili ni kwamba anajua fika kwamba jambo hilo sio sahihi lakini pia sio sumu. Kwamba kwa kuwa ameambiwa njia hiyo inasaidia kumtuliza mumewe na akifanya hivyo hakuna madhara zaidi ya faida anazodai kuzipata basi ni heri aendelee kutumia njia hiyo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad