Hamisa Mobetto Azidi Kung'aa Atajwa Kuwania Tuzo Afrika Kusini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki na mwanamitindo, Hamisa Mobetto amepata shavu kwa kutajwa katika msimu wa sita wa tuzo za Starqt Awards South Afrika.

Starqtawards ni Tuzo ambazo zinazohusisha biashara, mitindo, burudani na vitu vingine.

Hamisamobetto ametajwa katika tuzo hizo kwa kuwania kipengele cha 'Best Celebrity'. Kupitia ukurasa wake wa Instagram,Hamisamobetto ameeleza.

Imeelezwa kuwa Zoezi la upigaji kura litaanza rasmi tarehe 14 mwezi wa 8 kupitia tovuti yao na tukio la ugawaji wa tuzo hizo linatarajiwa kufanyika Oktoba 26 mwaka huu, Edenvale City Hall, mjini Johannesburg nchini South Afrika.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad