Kauli ya Kigwangala Baada ya Vifo vya Wafanyakazi wa Azam "Moyo Wangu Umeshtuka na Unatoa Machozi ya Damu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo July 8, 2019 Kufuatia ajali iliyoua Watu saba wakiwemo wafanyakazi watano wa Azam Media Waziri Kigwangalla ameandika katika ukurasa wake wa Twitter

“Moyo wangu umeshtuka na unatoa machozi ya damu kupata taarifa za kushtua na kusikitisha za ajali ya wafanyakazi wa Azam Media iliyotokea maeneo ya Malendi, Singida na kuchukua maisha ya 7 kati ya 10 waliokuwepo. Tunahangaika kutafuta usafiri wa haraka wa majeruhi hao 3!” Kigwangalla
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole nyingi kwa family, ndugu marafiki na wafanyakazi wa azam na taifa kwa ujumla.

    ReplyDelete

Top Post Ad