Malinzi na Katibu wake wamekutwa na mashtaka 20, mmoja aachiwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewakuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu(TFF), Jamal Malinzi na Katibu wake Selestine Mwesigwa katika mashtaka 20 kati ya 30 ikiwemo ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na utakatishaji fedha.

Wengine waliokutwa na kesi ya kujibu ni Mhasibu wa TFF, Nsiande Mwanga, na Karani Flora Rauya huku Meneja wa TFF, Mariam Zayumba akiachiwa huru. Kesi imeahirishwa hadi Agosti 6, mwaka huu kwa ajili ya kuanza kujitetea utetezi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad