google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html MO Dewji azidi kuibua sintofahamu ndani ya Simba SC | UDAKU SPECIAL

MO Dewji azidi kuibua sintofahamu ndani ya Simba SC

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati bado kukiwa na sintofahamu ya juu ya kusudio lake la kujiondoa kwenye klabu ya Simba - Mwenyekiti wa Bodi ya Simba MO Dewji ameendelea kuchapisha jumbe kwenye mitandao kuashiria kutokuwa sawa na baadhi ya viongozi wa klabu ya Simba.

Mapema jana mwenyekiti wa Simba Swedi Nkwabi alikanusha kuwa yeye ndio mmoja ya watu wanaotuhumiwa kuwa kikwazo cha mabadiliko ndaninya Simba, na kusema kwamba kila kitu kipo shwari.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad