Nimejifunza Dunia ikoje, Binadamu Watu Wabaya Sana - Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Muigizaji, Wema Sepetu amefunguka mambo mbalimbali yanayomuhusu tangu alipopitia misuko suko ya kesi na mambo kibao.

Wema Sepetu amesema kuwa kwasasa amejifunza kuwa dunia ikoje na kujua kuwa binadamu ni watu wabay ahuku akisema kuwa sio kila mtu anaekuchekea inatoka moyoni.

"Nimejifunza dunia ikoje, nilikuwa naichukulia easy, mimi iam very easy going. Mimi ni moja kati ya binadamu ninaye chukuliaga kila kitu sawa, nilikuwa nahisi kila mtu yupo kama mimi, binadamu ni watu wabaya sana," alisema Wema Sepetu.

"Nimejifunza kwamba binadamu sio mtu wa kumuamini, nimejifunza kwamba sio kila mtu anayekuchekea anakuchekea kutoka ndani ya moyo kwahiyo ninaweza sema nimekomaa, siwezi kusema nitakuwa na roho mbaya kwasababu roho mbaya mimi sijabarikiwa."

Wema  kwasasa anaandaa tamthilia yake mpya, ametangaza usaili kwa waigizaji chipukizi ambao utafanyika leo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad