7/17/2019

Picha: Viongozi mbalimbali katika harusi ya mtoto wa Lowassa


Viongozi mbalimbali Wastaafu na waliopo Madarakani wakiongozwa na Rais Mstaafu Alli Hassan Mwinyi,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Self Ali Idd wamepamba harusi ya Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Robert Lowassa na mkewe Stephanie Kaaya.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger