Prof. Kabudi akutana na Mabalozi wa Nchi za SADC

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) waliopo hapa nchini.

Katika mazungumzo hayo Prof. Kabudi amewafahamisha hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya Mkutanao ya wakuu wa nchi na Serikali wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliyopangwa kufanyika nchini mwezi Agosti 2019

Kwa upande wa waheshimiwa Mabalozi hao walifurahishwa kwa hatua ya maandalizi iliyofikiwa, na kuelezea furaha yao kuhusu uwamuzi wa Serikali kuwashirikisha mapema katika maandalizi hayo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Agweee Muwaha...!!
    Hongera sana na Uongozi wako Shirikishi.

    This is what we call Ownership peformance reporting back.

    Mkuluu aibaho alanje Milimo.
    Agwee To Umlamsaje muwaha.

    With this bright Win Wn preparetion and organised team perfection being aimed.
    We say Karibuni kwa African leadership game Changer Fahari ya Tanzania our own John Pombe Magufuli.
    KaribuniSaa Yubani kwa mara nyngine SADC leaders.

    ReplyDelete
  2. Napendekeza ikiwezekana baada ya kumaliza mkutano Rasmi ya viongozihawa wageni wetu.
    tuwapeleke kwenye historia ao na walio waanguia katika kuonesha Ukariuwetu watanzaia kweye abi zao Za Mazimbo Morogoro na Konwa Jijini Dodoma na seemu nyingne Dar er Salama naOisizao za Harakati za Ukomoi kuwa Tazania ni baba Laoatika kupinga Ubeeru na Ulowezi Barani Africa na Duniani kwa Ujumla.
    Na Magufuli ni mwendelezo wa era na jamii ile ile this time Chaging The prception and mind set of African leadership . And Waging Economal war and emancipation from weestern claws controlling our resource s.
    Magu utabaki kuwa kileleni juu juu kabisa.
    Inshallah mungu akulinde akupe afya uendelee kututumikia kwa moyo na nguvu zako zote.
    Tumetoka mbali na safari tumesha ianza wacheleeshaji ttusiwape nafasi.

    ale mlungu Akutazee Muwaha mdodo mkonongo wa kukaaaya..Uwalamsaje wazelelo. Milimoo ilibaha .Sandenyi wose.

    ReplyDelete
  3. Wazo zuri kuwapeleka tour mazimbo, kongwa, nachingwea, iringa ili wajionee mchango wa tz kwa mataifa hayo. Nakutakia milimo miswano.

    ReplyDelete

Top Post Ad