Qeen Darleen "Katika Wanawake wa Diamond Namkubali Sana Zari"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Qeen Darleen amesema bado anamkubali sana Zari  hadi sasa na hawezi kumjengea chuki kisa tu ameshaachana na kaka yake

Aidha, amesema hana kawaida ya kuingilia mahusiano ya Diamond na wanawake zake kwakuwa hata Diamond mwenyewe hana kawaida ya kuingilia mahusiano yake yeye Darleen

Queen Darleen amesema kipindi cha nyuma alikuwa karibu na wema Sepetu kwakuwa ndio alikuwa mpenzi wa Diamond, amesema Vj Penny hadi sasa ni rafiki yake wa karibu kwakuwa walijuana hata kabla ya Penny na Diamond kuwa wapenzi kisha kuachana, kuhusu Mobeto amesema hawana ukaribu wowote lakini hana tatizo nae tayari alishawaletea mtoto(Prince Daylan) na hata wakikutana wanasalimiana
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad