Rais Magufuli Aiagiza Wizara Ya Katiba Na Sheria Kupitia Magereza Yote Nchini Ili Kuwaachia Wafungwa Wasiostahili Kifungo.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameagiza Wizara ya katiba   na sheria kuendelea kupitia Magereza yote nchini ili kuweza kuwaachia wafungwa wasiostahili kifungo.

Rais Magufuli ametoa maelekezo hayo  Julai 18,2019  wilayani Kongwa   mkoani Dodoma wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara.

Mhe.Magufuli amesema baadhi ya wafungwa wamekuwa wakifungwa kwa kusingiziwa hivyo ni wakati sasa Umefika Kwa  Wizara kupita  kila gereza na kuchunguza uhalali wa kifungo ili kila mtu apate haki yake kwani serikali ya awamu ya tano ni Wanyonge.

Hivyo ,Rais Magufuli amesema serikali yake hawezi kutawala  kwa kuonea watu  wanyonge huku pia akisisitiza  Umuhimu wa viongozi  wa dini kuliombea taifa la Tanzania .

Katika hatua nyingine Rais Magufuli amekumbusha Umuhimu wa  kufanya kazi kwa bidii huku akisema asiyefanya kazi na asile na Serikali yake haiwezi kugawa chakula kwa mtu Mzembe.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MWENYEZI MUNGU ATAKULINDA NA KUKULIPA MEMA.

    JPM KILA UNAPOLETA MATUMAINI NA FURAHA KATKA FAMILIA AU JAMII ZETU NA WANYONGE WENZETU PALE AMBAPO MATUMAINI YAMEKUWA GIZANI

    MUNGU AENDELEE KUKULNDA NA KUKUHIFADHI
    DUA ZETU NA KATIKA HIKI KIPINDI HIKI NA MIEZI HII MITUKUFU YA HAJJ.

    KILA JEMAA UNALOFANYA HALIPOTEI MWANANGU. NI KAMA UMEMKOPESHA MWENYEZI MUNGU NA MALIPO NI KWAKE.

    MAGU ULINILIZA H
    ULIPPO HOTUA YAKO NZITO KONGWA. IMEJAA UTU NA KUJIELEWA KIMANTIKI NA MAUDHUI YAKE. INSHALLAH MWENYEZI MMUNGU AMPEE SHIFAA MAMA AWEZE KUINUKA NA AFYA NJEMA.
    ALLAH IBARIK FIK .
    NA NUSRA YAKE IWE JUU YAKO.
    ENDELEA KUTUTUMIKIA BABA.

    ReplyDelete

Top Post Ad