Ukitaka kuchagua Malaika kufa nenda Mbinguni - Rais Magufuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kutokana na kazi aliyoifanya Mbunge wa Kongwa, Spika Job Ndugai atashangaa kuona watu kama hawatampigia makofi.

Rais Magufuli amesema kuwa hatuchagui malaika na mtu akitaka kuchagua malaika afe aende mbinguni atawakuta Malaika huko.

“Kutokana na kazi nzuri anayofanya spika huyu nitashangaa sana kama hamtamshangilia makofi mengi hatuchagui malaika na akitaka mtu kuchagua malaika kufa nenda mbinguni utawakuta malaika huko lakini kwa binadamu nawaaambia kwa maendeleo yenu huyu amesaidia Taifa, ” amesema Rais Magufuli leo akiwa Kongwa jijini Dodoma.

Ameongeza kuwa "Nafahamu wakati wa kampeni wapo wengine waliotaka ubunge na nilipofika hapa nikawaambia kazi sio ubunge na kweli wale waliogombea na Mh. Ndugai niliwateua nafasi mbalimbali."
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad