7/08/2019

VIDEO:Diamond Platnumz Awazawadia Magari ya Bei Mbaya Mama yake Mzazi na Mpenzi Wake Tanasha
STAA wa Bongo Fleva , Nasib Abdul ' Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kuwazadia magari mama yake mzazi , Sanura Kassim ' Sandra ' .pamoja na mpenzi wake Tanasha

Diamond amefanya hivyo wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 52 Mama yake na Mpenzi wake Tanasha kutimiza miaka 24

Gari zilizotolewa ni aina ya Toyota Prado V8HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger