google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Watu 10 wafariki baada ya treni kugongana | UDAKU SPECIAL

Watu 10 wafariki baada ya treni kugongana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Watu wasiopungua 10 wamefariki na wengine 50 kujeruhiwa baada treni ya abiria waliyokuwa wakisafiria kugongana na treni ya mizigo katika mji wa Rahim Yar Khan mashariki mwa Pakistan hivi leo asubuhi.

Kulingana n ripoti, treni hiyo ya abiria ilikuwa ikielekea kusini magharibi mwa mji wa Quetta kutoka mashariki mwa Lahore wakati ilipogongana na treni ya mizigo katika kituo cha reli cha Walhar huko Rahim Yar Khan katika mkoa wa Punjab.

Madaktari wamesema kuwa kuna uwezekano wa idadi ya vifo kuongezeka kwa sababu wengi wa waliojeruhiwa wako katika hali mahututi.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad