AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Toleo hili WhatsApp utakuwa na uwezo wa kushare status yako kwenye mitandao kama Instagram, Facebook, Google Photos, Messenger na mingine mengi.
Utakapoweka “status” chini ya status utakutana na neno “share” ambapo hapo itakusaidia ku-share kilichopo. Kwa sasa toleo hili limeonekana kwa baadhi ya watumiaji wa WhatsApp ambao wanatumia BETA version, ila muda si mrefu inatarajiwa kuachiwa kwa watumiaji wote.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK