8/16/2019

Ajali Tena Morogoro, Wanne Wafariki Dunia


WATU wanne wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha basi la abiria mali ya Kampuni ya Safari Njema lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Dodoma na lori  maeneo ya Nanenane mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo.Jeshi la Polisi limethibitisha kwamba:  “Ni kweli usiku wa kuamkia leo Ijumaa Agosti 16, 2019, majira ya saa 7:30, kumetokea ajali eneo la Nanenane, basi mali ya Safari Njema likitokea Dar kwenda Dodoma limegongana kwa ubavu na lori mali ya Tumbaku Alliance, watu wanne wamefariki akiwemo dereva wa lori.”
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger