Jurgen Klopp Amekiri Inabidi Awe Mpole Asimkwaze Mama Yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jurgen Klopp amekiri inabidi awe mpole asimkwaze mama yake
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp na kocha wa Chelsea Frank Lampard kwa pamoja wameonesha mawazo chanya kuhusiana n uteuzi wa UEFA kumpa refa mwanamke Stephanie Frappart achezeshe mchezo wao wa UEFA Super Cup.

Stephanie mwenye umri wa miaka 35 kuelekea mchezo huo ndio atakuwa refa wa kwanza wa kike kuwahi kuchezesha mechi ya UEFA ya wanaume itakayochezwa Instabul nchini Uturuki leo.

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema itabidi ajaribu kudhibiti mihemko wakati wa mchezo huo  kwa sababu ya uwepo wa refa mwanamke “vinginevyo Mama yangu atapatwa na hasira”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad