8/12/2019

Picha za Tanasha za Kuonesha Ujauzito Wake Zadaiwa Kaiba Pozi Mpaka Mavazi..Hamisa Mobetto Ahusishwa

Mapya yaibuka shoot ya ujauzito wa Tanasha !! Wizi(plagiarism) wadaiwa kutawala kuanzia Kwenye styling hadi mapozi ya Tanasha Kama inavyoonekana Pichani ambapo picha hizo mbili zinasambaa kwasasa huku Tanasha, stylist wake pamoja na mpiga Picha(photographer) wakikaangwa Kwa kukosa ubunifu ...Wadau Wanadai Amemuiga Hamisa Mobetto Kama inavyoonekana kwenye picha hapo Juu

Nini mtazamo wako ?

Baadhi ya Comments za Wadau:

avrahjabali
If the photographer is one they both need to fire him. Zero creativity kwani amewafanyia similar pose people will obviously compare them.

ndele_ya_tanga
Director wao Ni mmoja kwenye hii picha

salmitaq
Hili pozi wanachaguliwaga na Daimond nini

fetty7185
Kwanzaa tunaiga cyo utamaduni wetu kabisaa
TAZAMA ALICHOFANYA ROSA REE BAADA YA KUFUNGULIWA NA BASATA

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger