Sabby Angel "Harmonize Akiondoka WCB hata Sara Atamkimbia"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


“Kwanza nimeshangazwa kusikia habari kuwa Harmonize anataka kuondoka WCB. Mimi naona sio maamuzi sahihi, Kubahatika kufanya kazi na WCB is a very good opportunity kwa kweli na it's a great team with proper coordinations. Nafasi Kama hiyo naitaka sanaaa tu mi naona Harmo kuondoka Wcb atafifia kama alivyovfifia Mavoko.‼️also Harmo ajiandae kukimbiwa na Sara kwani Bidada amejiweka kwake sababu ya umaarufu sio mapenzi ya kweli tuuseme ukweli mapema. Sara ana pesa kuliko Harmonize so ana uwezo wa kumiliki mwanaume yeyote amtakaye. Waliomshauri aondoke WCB hawana lengo zuri Kama maslahi ndio shida hilo linazungumzika mikataba irekebishwe alipwe zaidi, kuondoka WCB atakosa mvuto" amefunguka @sabbyangel
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad