"Sijapata Ganda la Ndizi au Mteremko" - Q Chief

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Image result for Q Chief
Abubakar Shabaan Katwila maarufu kama Q Chief amefunguka kwa wale wote wanaomsema kuwa amepata mteremko kupewa gari na kutafuta kiki.


Akizungumza na EATV & EA Radio Digital, amesema kazi zake zilikuwa na nguvu kubwa kuliko gari alilopewa.

“Gari ina thamani ya milioni 8 hadi 10, Video zangu tatu nilizotoa zina thamani ya milioni 20, muziki wangu auhitaji kiki kunirudisha wala vitu vingi ulikuwa unahitaji mtu mmoja ambaye ana uwezo wake binafsi ndio maana nililiaga hiyo kitu”, amesema.

Pia msanii huyo amewajibu wanaomsema amepata mteremko kupewa gari hilo kwa kusema alikuwa hajui kama atapewa gari na yeye sio mgeni wa gari kwa sababu alishamiliki magari matatu ila mambo yalimuendea tofauti.

Hata hivyo Q Chief ameendelea kusema gari huwa analitumia mpenzi wake, mama yake au meneja wake na ndoto zake ni kumiliki gari kubwa zaidi ya alilopewa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad