Update: RPC Morogoro Asema Zaidi ya Watu 56 Wamefariki Dunia Katika Ajali ya Lori Lililowaka Moto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa amesema karibu watu 56 wamepoteza maisha baada ya lori la mafuta ya petroli kupinduka eneo la Msamvu mkoani Morogoro na kuwaka moto

Ajali hiyo imetokea leo Jumamosi August 10, 2019  umbali wa mita 200 kutoka kituo kikuu cha mabasi Msamvu ukitokea Dar es Salaam.

Imeelezwa kuwa , baada ya lori hilo kupinduka, watu walianza  kujazana  wakigombania kuchota mafuta ambapo mmoja wa waliokuwa wakichota mafuta hayo alianza kuvuta betri ya gari na ikawa ndo chanzo cha moto kulipuka
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad