8/11/2019

Waziri Mkuu 'Nimepita Hapo Hali ni Mbaya Sana Ndugu Zetu Wameungua Sana'

Waziri Mkuu Majaliwa : Nimepita hapo hali si nzuri ndugu zetu wameungua sana, na iko hatari wengine tusiwafahamu kabisa, lakini hatutawanyima nafasi kuwatambua ndugu zetu, na kwa kuwa tulikuwa nao tangu jana asubuhi, tutawapa nafasi ya kuwatambua.

#MaomboelezoAjaliMorogoro
TAZAMA ALICHOFANYA ROSA REE BAADA YA KUFUNGULIWA NA BASATA

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger