9/07/2019

Aishi Akiwa na Jinsi MBILI Hostel za WasichanaKulikuwa na hali ya sintofahamu wakati Mary Waithera au James Karanja alipozaliwa mwaka 1991. Wakati akizaliwa, wakunga walinyamaza wasijue cha kumwambia mama yake ambaye alikuwa na shauku kubwa.

Ukweli ni kwamba, Mary Waithera au James alizaliwa  akiwa na jinsia mbili yaani ya kiume na ya kike. Mama yake akataka kujua sababu za mwanaye kuzaliwa akiwa hivyo.

SIKILIZA KISA HICHI:


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger