Ali Kiba Afunguka "Nikisema Niishi Maisha ya Kistaa Watu Wataniogopa"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ali Kiba ni mmoja kati ya Wasanii waliohudhuria uzinduzi wa Filamu mpya ya Msanii Gabo kutoka Bongo Movie "SIYABONGA" uliofanyika kipande cha Mlimani City usiku wa kuamkia leo.

King alipata nafasi ya kuzungumza na Waandishi wa Habari na moja kati ya machache alofanikiwa kuyajibu ni Swali kuhusu mfumo wake wa maisha kama Msanii "Kuishi Ki-Star

Na haya ndiyo yalikuwa majibu yake "Naishi maisha ambayo yako real, nikisema niishi kistar watu wataniogopa! Kwasababu naweza kuishi Ki-Star sitaki kuishi ki star kwasababu naenjoy maisha ambayo naishi."
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad