9/21/2019

Aliyepokea fedha Mil 1.3 kimakosa kwa M-Pesa ashtakiwa kwa wizi

Mwanaume huyo alipokea malipo ya Shilingi za Kitanzania 1,300,000/= kwa M-pesa kutoka kwa Mwanamke mmoja ambaye ni mfanyabiashara.Stanley Irungu baada ya kupokea fedha hizo alitoa kiasi cha Shilingi za Kitanzania 1,300,000/= huku akijua sio zake.

Stanley Irungu alipokea Tsh. 1,300,000 kutoka kwa Mfanyabiashara huyo na kutoa Tsh. 864,000 na kiasi kilichobaki kilirudishwa na Safaricom.

Milicent Atieno mfanyabiashara aliyekosea kutuma fedha hizo aliwasiliana na Kampuni ya Mawasiliano ya Safaricom waliorudisha kiasi cha Shilingi 465,000/= kilichobaki.

Stanley hakuwa akipokea simu hata alipokuwa akipigiwa ili arudishe muamala huo. Mahakama ilimuachia kwa dhamana baada ya kutimiza masharti.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger