9/18/2019

Breaking News: Shule ya Sekondari Old Tanga Inateketea Kwa Moto


Shule ya Sekondari Old Tanga inateketea kwa moto muda huu, jitihada za kuuzima zinaendelea.

Chanzo cha moto huo bado hazijafahamika

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, Edward Bukombe amethibitisha.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger